KERO Wakazi wa Devis Kona hadi Buza tunapata changamoto ya magari ya Muhimbili, yanaishia Tandika

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wakaaji wa maeneo ya kuanzia Devis Kona mpaka Buza wilaya ya Temeke tunapata changamoto ya magari ya Muhimbili sababu magari hayo huishia Tandika ingali kwamba yameandikwa Buza - Muhimbili.

Tunaomba tusaidie kupaza sauti kwani Muhimbili ni Hospitali ya Taifa na inabeba watu wengi kama wagonjwa wa nje na wanaolazwa hivyo kufanya watu kua na route ya huko muda wote kwa ajili ya huduma mbalimbali.

Pia ni wajibu wa daladala hizo kufuata route husika na siyo kuishia tu eneo ambalo wanajisikia wao.
 
Kuna yale yanafika hadi Buza ila unalipia mara mbili....
 
Kwa route ya Buza hilo ni tatizo kubwa , hadi wale wa Buza - Mbande wanafanya sana uhuni wanaishia Tandika
 
Wakaaji wa maeneo ya kuanzia Devis Kona mpaka Buza wilaya ya Temeke tunapata changamoto ya magari ya Muhimbili sababu magari hayo huishia Tandika ingali kwamba yameandikwa Buza - Muhimbili.

Tunaomba tusaidie kupaza sauti kwani Muhimbili ni Hospitali ya Taifa na inabeba watu wengi kama wagonjwa wa nje na wanaolazwa hivyo kufanya watu kua na route ya huko muda wote kwa ajili ya huduma mbalimbali.

Pia ni wajibu wa daladala hizo kufuata route husika na siyo kuishia tu eneo ambalo wanajisikia wao.
Mimi Wananiboa Sana inabidi utembeee
 
Back
Top Bottom