A
Kuna yale yanafika hadi Buza ila unalipia mara mbili....Wakaaji wa maeneo ya kuanzia Devis Kona mpaka Buza wilaya ya Temeke tunapata changamoto ya magari ya Muhimbili sababu magari hayo huishia Tandika ingali kwamba yameandikwa Buza - Muhimbili.
Tunaomba tusaidie kupaza sauti kwani Muhimbili ni Hospitali ya Taifa na inabeba watu wengi kama wagonjwa wa nje na wanaolazwa hivyo kufanya watu kua na route ya huko muda wote kwa ajili ya huduma mbalimbali.
Pia ni wajibu wa daladala hizo kufuata route husika na siyo kuishia tu eneo ambalo wanajisikia wao.
Mimi Wananiboa Sana inabidi utembeeeWakaaji wa maeneo ya kuanzia Devis Kona mpaka Buza wilaya ya Temeke tunapata changamoto ya magari ya Muhimbili sababu magari hayo huishia Tandika ingali kwamba yameandikwa Buza - Muhimbili.