WAKAZI WA DODOMATWANAHITAJIKA WATU WA KUFANYA MAKERTING

ilende

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Tunahitaji watu 10 wakazi wa Jiji la Dodoma wenye uwezo na bidii ya kufanya makerting.wasiliana kwa namba 0714521260.
 
Eleza unauza nn. Mambo ya kitapeli hatutaki.

Sent using my Nokia Torch
 
Wabongo bwana kama wewe hutaki kuwa machinga waachie wanaoutaka umachinga wafanye hivi mnazani kila MTU anavyeti?
 
Chinga ana muda wa kuingia JF?
wewe tangaza ni bidhaa gani unataka tukutembezee maana vitambulisho tunavyo
na maeneo hapa One Way ya kutandaza hizo bidhaa zipo na tutagawana
 
Eleza unauza nn. Mambo ya kitapeli hatutaki.

Sent using my Nokia Torch
Hakuna mambo ya kitapeli mkuu, biashara ya halali kabisa,product ni Car tracking device
Chinga ana muda wa kuingia JF?
wewe tangaza ni bidhaa gani unataka tukutembezee maana vitambulisho tunavyo
na maeneo hapa One Way ya kutandaza hizo bidhaa zipo na tutagawana
Kama ni muhitaji kuna namba ya simu imewekwa wasiliana upewe maelekezo zaidi.
 
Hakuna mambo ya kitapeli mkuu, biashara ya halali kabisa,product ni Car tracking device

Kama ni muhitaji kuna namba ya simu imewekwa wasiliana upewe maelekezo zaidi.
Dodoma yapo magari mangapi?
 
Back
Top Bottom