Sema tunahitaji machinga wakuzungusha vyombo vya ki china......marketing gani inayo hitaji nguvu zaidi ya vyetiTunahitaji watu 10 wakazi wa Jiji la Dodoma wenye uwezo na bidii ya kufanya makerting.wasiliana kwa namba 0714521260.
Asante mkuu kwa kupitia andiko,hata hiyo uliyosema ya kuzungusha vyombo vya kichina ni makerting vilevile japo sio bidhaa iliyo kusudiwa.Sema tunahitaji machinga wakuzungusha vyombo vya ki china......marketing gani inayo hitaji nguvu zaidi ya vyeti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mambo ya kitapeli mkuu, biashara ya halali kabisa,product ni Car tracking deviceEleza unauza nn. Mambo ya kitapeli hatutaki.
Sent using my Nokia Torch
Kama ni muhitaji kuna namba ya simu imewekwa wasiliana upewe maelekezo zaidi.Chinga ana muda wa kuingia JF?
wewe tangaza ni bidhaa gani unataka tukutembezee maana vitambulisho tunavyo
na maeneo hapa One Way ya kutandaza hizo bidhaa zipo na tutagawana
Dodoma yapo magari mangapi?Hakuna mambo ya kitapeli mkuu, biashara ya halali kabisa,product ni Car tracking device
Kama ni muhitaji kuna namba ya simu imewekwa wasiliana upewe maelekezo zaidi.