A
Anonymous
Guest
Kitefure Longuo A Moshi Vijijini, tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kutokana na maji kutotoka hali ambayo inaathiri Watu wengi ikiwemo sisi Wanachuo na Wanajamii kwa jumla, hali hii imedumu kwa muda mrefu sasa, tunaomba kusaidiwa.
Hii ni nyumba moja na tunapata maji mara moja kwa wiki au siku 9 Hadi 10.
======================
JamiiForums inaendelea na jitihada za kuwasiliana na Uongozi wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoani Kilimanjaro kuhusu hoja ya Mwanachama huyo wa JamiiForums.com
Hii ni nyumba moja na tunapata maji mara moja kwa wiki au siku 9 Hadi 10.
======================