Wakazi wa Gaza nao ni mateka wa Hamas?

Wakazi wa Gaza nao ni mateka wa Hamas?

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,888
Reaction score
1,570
Habari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas kusitisha mapigano ili mateka waachiliwe.
Wakati huohuo waathirika wakubwa wa vita hivi ni watu Gaza. Je na wao (Raia wa Gaza) ni Mateka wa Hamas?
 
Suali zuri japo jibu lake ni rahisi sana na linafikirisha
 
Nimejiuliza sana hili swali pia..ila magaidi Yana uwezo wa KUWAPUMBAZA wananchi wake kwa kiwango kikubwa sana..YANI kweli mtu unapoteza watoto wako karibia kumi, Bado husemi chochote kuhusu hao Hamas
 
Habari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas kusitisha mapigano ili mateka waachiliwe.
Wakati huohuo waathirika wakubwa wa vita hivi ni watu Gaza. Je na wao (Raia wa Gaza) ni Mateka wa Hamas?
Pigia mstari.

Raia Ukionekana kuwapinga wanakuua mara Moja, hapo ndipo ninapowaona hawa Hamas ni wendawazimu yaani wao wakiuliwa na Israel wanaamini unaenda peponi straight ila wao wakiwaua wapelestina wenzao aliyeuliwa haendi peponi.
 
Ogopa wa vaa misuri wakijana kwenye eneo.kule naijeria boko haramu wanaua mpaka waislamu
 
Habari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas kusitisha mapigano ili mateka waachiliwe.
Wakati huohuo waathirika wakubwa wa vita hivi ni watu Gaza. Je na wao (Raia wa Gaza) ni Mateka wa Hamas?
Ni mateka ndiyo, ukifanya fyoko unaenda na maji, kama ilivyo Tz kwa Serikali ya Ccm na raia wapenda mageuzi.

Ukiihoji Serikali unatekwa ama kuuawa na watu wasiojulikana.

Na Gaza ni hivyo hivyo, raia hawana la kusema, ukisema unageuzwa adui na kupotezwa.
 
Wayahudi, hawatoi ushirikiano na nchi yao, serikali yao na hata jeshi lao. Vitendo vyao vinawafanya Hamas kuwa na kiburi.
 
Ni mateka ndiyo, ukifanya fyoko unaenda na maji, kama ilivyo Tz kwa Serikali ya Ccm na raia wapenda mageuzi.

Ukiihoji Serikali unatekwa ama kuuawa na watu wasiojulikana.

Na Gaza ni hivyo hivyo, raia hawana la kusema, ukisema unageuzwa adui na kupotezwa.
Tuwaombee Kwa Mungu, wanahangamizwa bila hatia.
 
Back
Top Bottom