Suali zuri japo jibu lake ni rahisi sana na linafikirishaHabari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas kusitisha mapigano ili mateka waachiliwe.
Wakati huohuo waathirika wakubwa wa vita hivi ni watu Gaza. Je na wao (Raia wa Gaza) ni Mateka wa Hamas?
Pigia mstari.Habari?

Ni mateka ndiyo, ukifanya fyoko unaenda na maji, kama ilivyo Tz kwa Serikali ya Ccm na raia wapenda mageuzi.Habari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas kusitisha mapigano ili mateka waachiliwe.
Wakati huohuo waathirika wakubwa wa vita hivi ni watu Gaza. Je na wao (Raia wa Gaza) ni Mateka wa Hamas?
Wayahudi, hawatoi ushirikiano na nchi yao, serikali yao na hata jeshi lao. Vitendo vyao vinawafanya Hamas kuwa na kiburi.Habari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas kusitisha mapigano ili mateka waachiliwe.
Wakati huohuo waathirika wakubwa wa vita hivi ni watu Gaza. Je na wao (Raia wa Gaza) ni Mateka wa Hamas?
Tuwaombee Kwa Mungu, wanahangamizwa bila hatia.Ni mateka ndiyo, ukifanya fyoko unaenda na maji, kama ilivyo Tz kwa Serikali ya Ccm na raia wapenda mageuzi.
Ukiihoji Serikali unatekwa ama kuuawa na watu wasiojulikana.
Na Gaza ni hivyo hivyo, raia hawana la kusema, ukisema unageuzwa adui na kupotezwa.