Wakazi wa Gaza wawashukuru baadhi ya Watanzania waliowapatia misaada muhimu

Waafrika bhn yaan watu wanapigwa hapo Sudan, Congo etc lkn msaada wamewapelekea ngoz nyeupe mbali huko.Enewei sipingani na madhara yanayowatokea wana Gaza ila charity begins at home
Tatizo lipo wapi si upeleke wewe achana na hawa wa Gaza. Au wewe kazi yako kulaumu watu ambao uchangii hata mia na kuwapangia watu cha kufanya.
Miafrica bana.
 
Tatizo lipo wapi si upeleke wewe achana na hawa wa Gaza. Au wewe kazi yako kulaumu na kuwapangia watu cha kufanya.
Niwapangie wakat washapeleka? Una kichaa sio bure.. Sina uwezo huo wa kusaidia wengine katika ukubwa huo..
 
Wanaukumbi.

Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto.

Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.

Tunatakiwa tuingie nawo vita ndugu zetu wamewaua bila sababu na sisi sio ISRAEL tukilianzisha tunawasisha wote waende wanaoamini wao Hawa watu inabidi tukalipize kisasi namana hata kitabu kinasema KISASI ni haki
 
Huyo anaweza kuua kabisa😅, Kuna watu ni wana chuki alafu haina sababu yenye mashiko, na hizi ndio zinatokea hata za kikabila (kama za rwanda) unauliwa kisa wewe ni mhutu. Noma sana

Any way tuendelee kuishi tu maana hakuna dunia nyingine
 
Wanaukumbi.

Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto.

Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.

Binyamini Neta please take control of Gaza strip immediately
 
Mama gan alimuoa Paulo tena mkuu. Maana kuna jitu limeolewa na jimama halafu likaja kuoa tena kitoto cha miaka tisa wanaliita mtume wa Mungu.
Mimi nilikusudia lile liso owa likatundikwa msalabani mkadai kachinjwa na falme kule Rome.

Kwani halikuowa? Lilikuwa haliwezi kazi sio.


Wewe wachana na Mtume wetu alikuwa Rijal sio huyo mtume wenu fake na aliye uleta ukristo.
 
Ndio laana wanapata wacha wapate kichapo. Na sasa hiv Gaza bye bye
Nani anaye kuambia kufa ni laana kufa ni nema kuna siku utatamani kufa tu.

Huna ndugu umpeleke huko akasomee kilimo au we nenda ukasomee kilimo afu uishie kwenye camp za jeshi uwe unasafisha vyoo.
 
Mama gan alimuoa Paulo tena mkuu. Maana kuna jitu limeolewa na jimama halafu likaja kuoa tena kitoto cha miaka tisa wanaliita mtume wa Mungu.
Teh! Eti marioo! Kumbe hii fani ya siku nyingi; toka zama za kale!
 
Haijatusahaulisha vifo vya watanzania wenzetu.............waliwaua kinyama sana na bila hatia...........unakwenda kumchoma bisu la tumbo mtu ajakushikia hata jiwe .............laaana iwe kwao na uzao wao wotee...........na hata kwa wale wanao watetea....... ..........
 
Mimi nilikusudia lile liso owa likatundikwa msalabani mkadai kachinjwa na falme kule Rome.

Kwani halikuowa? Lilikuwa haliwezi kazi sio.


Wewe wachana na Mtume wetu alikuwa Rijal sio huyo mtume wenu fake na aliye uleta ukristo.
Mtume rijali mpaka kagonga mke wa mkamwana wake. Ndio maana yule demu alimuekea sumu na ikamtesa mpaka akafa.
 
Mtume rijali mpaka kagonga mke wa mkamwana wake. Ndio maana yule demu alimuekea sumu na ikamtesa mpaka akafa.
Wewe nyege za.matakoni zinakusumbua huna lolote ulijualo kuhusu Mtume Muhammad zaidi ya kusoma kanga za kanisani.
 
Wewe nyege za.matakoni zinakusumbua huna lolote ulijualo kuhusu Mtume Muhammad zaidi ya kusoma kanga za kanisani.
Naona umepaniki baada ya kuelezwa uchafu wa mtume wa majin
 
Wanaukumbi.

Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto.

Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.

Ukishashiba na kuvimbiwa maharage yako huchagui ht pa kutolea hiyo hewa yako chafu? Huna adabu we zombie, uwezo wako ni mdg sn kuelewa ukweli wa neno la Mungu.
 
Ni chakula gani tumewapa, mchele au unga wa dona, ugali au ni nini hicho kwenye mifuko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…