Fundi wa fundi
Senior Member
- Apr 18, 2017
- 117
- 53
Tunakabiliwa na shida ya mtandao wa mawasiliano, yaani ukitaka kupiga simu lazima uende kitongoji kingine mbali ya kwamba tuna zahanati ya kijiji, wananchi waliojiunga na bima hawana faida au hawafaidiki na bima hizo pindi wanapoenda kutibiwa tafadhali serikali inatusaidiaje katika hili.
Tuna shule ya Msingi inaitwa Bangala, ina zaidi ya miaka 40 lakini umeme na mawasiliano hakuna maji ya shida mbali ya kwamba kuna mto unapitisha maji kwa zaidi ya miaka 60-70.
Tuna shule ya Msingi inaitwa Bangala, ina zaidi ya miaka 40 lakini umeme na mawasiliano hakuna maji ya shida mbali ya kwamba kuna mto unapitisha maji kwa zaidi ya miaka 60-70.