A
kwa kesi za ardhi zilivyo nyingi safari hii waziri jerry silaha utapasuka kichwa
Hawakuvamia waliuziwa katika utaratibu unaotambulika kisheria chini ya ofisi za serikari ya mtaa chini ya mwenye kiti kama inavyofahamika kisheria, wapo kwa muda mrefu sana takribani miaka 10Kwanini wanavamia maeneo na kujenga nyumba wakati sio yao?
Na kama waliuziwa basi taratibu za kununua ardhi zinafahamika. Ndio shida ya kupenda vya bei rahisi.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Pelekeni shauri mahakamani sasa.Hawakuvamia waliuziwa katika utaratibu unaotambulika kisheria chini ya ofisi za serikari ya mtaa chini ya mwenye kiti kama inavyofahamika kisheria, wapo kwa muda mrefu sana takribani miaka 10