luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Habarini za Usiku,
Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo
Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya pili tena ilikuwa na abiria na ilisemekana abiria mmoja alikimbizwa hospital.
Sasa eneo lote la Mikocheni ukianzia shoppers kuelekea Kawe ni SHIDAAAAA
Unakuta JUMBA zuri lkn lina tiririsha maji au limezungukwa na maji