Wakazi wa Mikocheni, poleni kwa Mvua

Wakazi wa Mikocheni, poleni kwa Mvua

Jaribu kwenda kwenye club za wachina hapa hapa Tanzania Tena Dar. Wakikuruhusu kuingia njoo uni tag
Nasikiaga huko ktk club zao wana gegedana sanaaa na ufuksa wote hukon
 
Habarini za Usiku,
Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo

Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya pili tena ilikuwa na abiria na ilisemekana abiria mmoja alikimbizwa hospital.

Sasa eneo lote la Mikocheni ukianzia shoppers kuelekea Kawe ni SHIDAAAAA

Unakuta JUMBA zuri lkn lina tiririsha maji au limezungukwa na maji

Warioba mwenyewe yupo salama?
 
eneo salama ni mbezi na kimara[emoji23][emoji23]

kwingine kaa chonjo.
 
eneo salama ni mbezi na kimara[emoji23][emoji23]

kwingine kaa chonjo.
Mbezi, Kimara, Goba, Kibamba, Kiluvya, Kinyerezi, Malamba nk japo kuna miinuko lakini aaah watu wanaenjoy. Tatizo ni miundombinu ya barabara dadeq!!!
 
Back
Top Bottom