luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ndugu yaan wenzako walikuwa wana pelekwa na maji iv muda wa kupiga picha utaupata kweli ? Tulikuwa busy kuokoa bajaji na abiria wake.Picha
Mvua kidogo tu , jangwani hapapitiki kabisa, mwendokasi zinageuka kua dala dala za kawaida , sema utafauti inakua ni nauliHaya mambo Nilijua wilaya ya temeke pekee kumbe hata kinondoni kwa wenye mahela yapo..[emoji23][emoji23] haya Obama na wenzake watatuma chopa kuwaokoa wakazi wa huko.
Haya mambo Nilijua wilaya ya temeke pekee kumbe hata kinondoni kwa wenye mahela yapo..[emoji23][emoji23] haya Obama na wenzake watatuma chopa kuwaokoa wakazi wa huko.
Serikali ipi? Awamu ya kwanza kulikua hakuna mafuriko. Walipoingia wachina tu na kuruhusiwa na watendaji wa jiji wajenge magorofa ndio mwanzo wa shidaHivi walishindwa vipi kutengeneza drainage system ikamwage maji baharin tu hapo
Kwa wale wageni wa hili jiji kwamba eneo lote lilikuwa ni eneo la kilimo cha MPUNGA kama mjuavyo MPUNGA unahitaji maji hivyo jiji lote limezungukwa na maji hivyo nawaombeni karibuni huku chalinze tuchukue maeneo
Wachina ni marafiki zetu wa kihistoria waachwe tuSerikali ipi? Awamu ya kwanza kulikua hakuna mafuriko. Walipoingia wachina tu na kuruhusiwa na watendaji wa jiji wajenge magorofa ndio mwanzo wa shida
Jaribu kwenda kwenye club za wachina hapa hapa Tanzania Tena Dar. Wakikuruhusu kuingia njoo uni tagWachina ni marafiki zetu wa kihistoria waachwe tu
Huwezi sikia, Goba,Madale,Kinyerezi,Mbagala,kigamboni,Toangoma,Buza,Chanika,Masaki, kimara wanalia Mafuriko. Shida ipo kwa hawa wakazi wa Sinza, kijitonyama, Mwananyamala, kinondoni, vingunguti ,Msasani, Tegeta na kawe siyo salama kwa afya yako yaani ikinyesha mvua tu huna uhakika wa kurudi Home pia unaweza ukarudi ukakuta familia imesombwa na Maji au ukakuta unapishana na vyombo vyako barabarani vinapeleka baharini. Ila hawa wa kwenye Mafuriko wanajua kuchamba wenzao na kuwaitakuwaita wapo swekeniMmetoka kuidisi Temeke Leo mshajisahau.
Muna Vichwa vya kuku
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app