ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 683
Kichwa cha habari chajieleza..
Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa..
Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna giza tuwekewe umeme haraka sana. Nguzo zikawekwa alipofariki na umeme umefariki pia..
Sasa hivi vishoka wanaiba nguzo moja moja, mpaka sasa zimechomolewa nguzo tatu, muda si mrefu hii line hizi nguzo zitaisha kwa kuibwa na vishoka japo zimesimamishwa.
Nguzo hizi zinapakana na line kubwa ya umeme wa gesi na line mpya inayojengwa ya umeme wa SGR
Waziri wa Nishati, January Makamba usaidie wananchi wa eneo hili tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu