Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini.
Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko mvua zinanyesha? Au nako kukame? Hawa DAWASA kutumia visima vya Kigamboni hawataki na bado kiteteo chao Ruvu imekauka Moro hakuna mvua. Ni kweli? Siku ya 8 hatuna maji hapa.
DAWASA mnakera.