Wahuni tu. Watu wanapenda kufanya kazi na camera ila ufuatiliaji na utekelezaji ni sufr kabisa.Washaanza TENA adakadabra za migao ya maji? Si waziri alisema kwamba mgao umekwisha huko daslamu?
Inasikitisha sana.Wahuni tu. Watu wanapenda kufanya kazi na camera ila ufuatiliaji na utekelezaji ni sufr kabisa.
Maji bado ya taabu,ukanda wa kunduchi, tegeta,mji mpya kule kunduchi, maji changamoto badoDar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini.
Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko mvua zinanyesha? Au nako kukame? Hawa DAWASA kutumia visima vya Kigamboni hawataki na bado kiteteo chao Ruvu imekauka Moro hakuna mvua. Ni kweli? Siku ya 8 hatuna maji hapa.
DAWASA mnakera.
Nchi ya ovyo sana, maji kitu muhimu sana lakini Serikali Wala haijali kituDah. Hadi aibu mimi sio wa kuomba maji kwa jirani.