IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu.
Vijana hawa Wala siyo wakazi wa nyumba hizi, hushinda maaneo haya kutwa nzima mbaya zaidi Kuna watoto wadogo wameanza kuwauzia bangi wakati hawa watoto ni wanafunzi.
Tumepeleka swala hili Oster bay police hatujapata ushirikiano wowote zaidi yakusema watakuja huu wapata mwaka 5 Sasa hakuna action yeyote iliyofanyika.
Kwa barua hii wewe kama mkuu wa jeshi la polisi unauwezo wa kututatulia kadhia hii haikuwa Nia yetu kukuandikia wewe moja Kwa moja tumekutana na mkwamo ndiyo maana tumekuja kwako.
Ni matumaini yetu utalifanyia kazi swala letu.
Asante!