Wakazi wa Mwanza, naombeni ushauri sehemu ya kupanga

Wakazi wa Mwanza, naombeni ushauri sehemu ya kupanga

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,203
Naitaji sehemu ya kupanga ipi nzr kwa kuishi mke wangu na mtoto mdogo 1

Kati ya sehem hizi

Buhongwa
Nyegezi
Natta
Nyakato

Au capri point kodi ina range Bei gani?
 
sehemu zote ulizotaja zina maeneo yaliyopangwa na squatter ni wewe mwenyewe kuamua upange wapi kulingana na sehemu unapofanyia kazi.ila nyakato maeneo ya mwananchi ni pazuri zaidi
 
Buhongwa ni mji mpya kuna nyumba nyingi mpya na za kisasa pia....Kaishi huko hutojutia huduma zote zipo karibu km soko etc...
 
huku Bombambili jirani na Tegeta nyuki nyuma ya roundabout ya msamvu ukishuka kifanya kwa juu kidogo kata kulia utatokea Mwanjelwa mtaa wa Kwa Mathias huko kuna mitaa kama kihesa, Naliendele, kizota, Tambukareli na Matema beach
 
Dogo acha bange
huku Bombambili jirani na Tegeta nyuki nyuma ya roundabout ya msamvu ukishuka kifanya kwa juu kidogo kata kulia utatokea Mwanjelwa mtaa wa Kwa Mathias huko kuna mitaa kama kihesa, Naliendele, kizota, Tambukareli na Matema beacho acha
 
Back
Top Bottom