wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,203
sehemu zote ulizotaja zina maeneo yaliyopangwa na squatter ni wewe mwenyewe kuamua upange wapi kulingana na sehemu unapofanyia kazi.ila nyakato maeneo ya mwananchi ni pazuri zaidi
Unaujua umbali wa buhongwa to town?? Mbali sana simshauriBuhongwa ni mji mpya kuna nyumba nyingi mpya na za kisasa pia....Kaishi huko hutojutia huduma zote zipo karibu km soko etc...
Usirogwe ukaja kanyerere, WAHA sio watu.Kuna mtaa naishi wachawi wengi kulko wananch
huku Bombambili jirani na Tegeta nyuki nyuma ya roundabout ya msamvu ukishuka kifanya kwa juu kidogo kata kulia utatokea Mwanjelwa mtaa wa Kwa Mathias huko kuna mitaa kama kihesa, Naliendele, kizota, Tambukareli na Matema beacho acha
siachiDogo acha bange
Nashauri umtafute Brither K a.k.a wakukurupuka1 hutojutaNaitaji sehemu ya kupanga ipi nzr kwa kuishi mke wangu na mtoto mdogo 1
Kati ya sehem hizi
Buhongwa
Nyegezi
Natta
Nyakato
Au capri point kodi ina range Bei gani?