Wakazi wa Mwanza

Onyix

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
682
Reaction score
793
Kila mtu ana starehe yake... Mwingine Mademu, mwinge mpira n.k mimi napenda sana yale maji ya mende.. Sasa weekend iliyopita nilikua Jiji Mwanza kikazi ndo nimeondoka leo kutoka hilo jiji la miamba.. Tatizo langu ambalo nilishangaa sana na kunifanya ni si enjoy starehe yangu ya kukata kilaji.. Bia yangu sikuipata karibu baa nyingi za Twn mpaka Tilapia bia yangu haikuwepo nikashangaa tatizo ni nini.. Bia zote zipo kasoro SERENGETI LITE kila Baa nikienda sipati hyo mambo... Nakumbuka nilienda Villa pale muhudumu akanishangaa..! unataka casto au nikamwambia SERENGETI LITE ikapidi aende kaunta kuuliza.. Swali je Bia hii mwanza haipo na ni special kwa baadhi ya mikoa tu au..
Watu wa mwanza naomba jibu... Maana xmass inaweza kuliwa huko nataka nibebe package yangu kabisa..
 
mkata kilaji wa kweli hachagui kilevi..Bado unajifunza
Kikao ndo kinaamua Bia gani ya kuchwa mkuu... Hivi vikao vyenu vya masaa manne lazima usichague bia..
 
Chukua balimi.
Hii ndo Bia pendwa kwa mwanza asee... Niliigonga pia maana nilikaa na jamaa flani kila mtu akaagiza hyo mambo lakn walisanda mapema maana kikao kilikua after supu ya asubuh weekend kazi ya kulipa kodi inaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…