Onyix
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 682
- 793
Kila mtu ana starehe yake... Mwingine Mademu, mwinge mpira n.k mimi napenda sana yale maji ya mende.. Sasa weekend iliyopita nilikua Jiji Mwanza kikazi ndo nimeondoka leo kutoka hilo jiji la miamba.. Tatizo langu ambalo nilishangaa sana na kunifanya ni si enjoy starehe yangu ya kukata kilaji.. Bia yangu sikuipata karibu baa nyingi za Twn mpaka Tilapia bia yangu haikuwepo nikashangaa tatizo ni nini.. Bia zote zipo kasoro SERENGETI LITE kila Baa nikienda sipati hyo mambo... Nakumbuka nilienda Villa pale muhudumu akanishangaa..! unataka casto au nikamwambia SERENGETI LITE ikapidi aende kaunta kuuliza.. Swali je Bia hii mwanza haipo na ni special kwa baadhi ya mikoa tu au..
Watu wa mwanza naomba jibu... Maana xmass inaweza kuliwa huko nataka nibebe package yangu kabisa..
Watu wa mwanza naomba jibu... Maana xmass inaweza kuliwa huko nataka nibebe package yangu kabisa..