A
Anonymous
Guest
Wakazi wa Mwenge TRA tumechoka na kero ya umeme kukatika kila siku, sometimes inaharibu hata shuguli za kupata riziki tumechoka kwa kweli.
Soma Pia: Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara
Juzi tulipiga simu TANESCO eti hata wao hawajui kama umeme umekatika 😂😂 Hii hali tangu mwezi 10 Mwaka 2025, hali imekuwa endelevu.