A
Anonymous
Guest
Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa
Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo.
Watu wanatumia maji ya visima ambayo wakati wa kiangazi hupungua na kuisha kabsa. Tunaomba mamlaka husika ndani ya jiji la Mwanza liangalie hilo suala.