Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.
Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.
Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.
Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari
Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya
Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo