Wakazi wa Rufiji Hamjamtendea haki Rais Samia kwa kutopeleka watoto wenu Chuo cha VETA kilichojengwa kwa Mabilioni Rufiji, mkuu wa wilaya alalamika

Wakazi wa Rufiji Hamjamtendea haki Rais Samia kwa kutopeleka watoto wenu Chuo cha VETA kilichojengwa kwa Mabilioni Rufiji, mkuu wa wilaya alalamika

Ukiona hivyo maana yake kuna msingi mbovu wa elimu huko Rufiji. Kwamba elimu ya msingi ni mbaya kiasi cha kupoteza kutoa wahitimu wenye sifa za kujiunga na VETA.

Kilichotokea Rufiji iwe fundisho kwa maeneo mengine. Kwa mfano nimesikia baadhi ya maeneo wanadai wajengewe vyuo vikuu. Mtazamo wao ni kwamba chuo kikuu ilijengwa wanakijiji wa eneo husika wanapata nafasi za masomo. Ushauri wangu ni kwamba eneo linaloomba chuo cha ngazi fulani ni lazima liwe limejitosheleza ktk ngazi ya chini yake.

Serikali nayo inapaswa kulaumiwa. Sio sahihi kuwabwagia wananchi chuo cha VETA wakati elimu ya msingi huko Rufiji iko taabani. Ujenzi huo ilipaswa kwenda sambamba na kuandaa wanafunzi watakaojiunga na chuo hicho.
Una hoja nzito iliyojaa akili nyingi serikali isikie isilete masihara
 
Ukiona hivyo maana yake kuna msingi mbovu wa elimu huko Rufiji. Kwamba elimu ya msingi ni mbaya kiasi cha kutoweza kutoa wahitimu wenye sifa za kujiunga na VETA.

Kilichotokea Rufiji iwe fundisho kwa maeneo mengine. Kwa mfano nimesikia baadhi ya maeneo wanadai wajengewe vyuo vikuu. Mtazamo wao ni kwamba chuo kikuu kikijengwa wanakijiji wa eneo husika watapata nafasi za masomo. Ushauri wangu ni kwamba eneo linaloomba chuo cha ngazi fulani ni lazima liwe limejitosheleza ktk ngazi ya chini yake.

Serikali nayo inapaswa kulaumiwa. Sio sahihi kuwabwagia wananchi chuo cha VETA wakati elimu ya msingi huko Rufiji iko taabani. Ujenzi huo ulipaswa kwenda sambamba na kuandaa wanafunzi watakaojiunga na chuo hicho.
Huwezi lazimisha punda anywe maji.

Raisi Samia kujenga Veta na taasisi za elimu ya level yeyote apeleke kwa walio tayari

Kwani hata akienda kampeni 2025 akisema serikali ya CCM imejenga chuo cha VETA Rufiji watamuona kama mjinga tu wao hitaji lao kuu madrasa ya kuhifadhi kuruani aweza nyimwa kura vile vile sababu hitaji lao sio chuo secular waweza hata mzomea kampeni 2025 akiongea hilo

Awekeze maeneo wanataka hizo VETA na wako tayari kujiunga kwa wingi
 
Kuanzia mkuranga, mwarusembe
Kimanzichana, ikwiriri, kibiti, nyamisati nk mamwinyimwinyi sana kdg sahv wanaanza kuchangamka

Ova
 
Kuanzia mkuranga, mwarusembe
Kimanzichana, ikwiriri, kibiti, nyamisati nk mamwinyimwinyi sana kdg sahv wanaanza kuchangamka

Ova
Wabunge na viongozi wa maeneo hayo wajinga sana wana mu mu misi lead Raisi wakiona kwingine Ma VETA kibao na wao wanataka na kufoka ohh mfumo Kristo unajaza vyuo vya VETA kwao muislamu mwenzetu Raisi Samia ondoa huo ubaguzi wa mfumo Kristo wanadanfanyana misikitini kupotosha Raisi wakati huko kwingine VETA ikijengwa wananchi wako tayari kupeleka vijana kibao wanajaa from day one
Ni hitaji halisia la wananchi

Ona sasa kinachotokea hapo Rufiji ni aibu kuanzia kwa wabunge,waislamu siasa kali wasema mfumo Kristo unajipendelea

Lichuo la VETA zur8 sana hilo nendeni mkasome basi mbona mnashinda madrasa

Mlilitaka hilo chuo la nini ? Wakati vyuo mnavyotambua ni vyuo vya madrasa?
Mnapoteza mabilioni ya pesa za walipa kodi kwa kitu msichohitaji

Raisi Samia uwe makini na kelele za waislamu wenzio .ona sasa Chuo hakina wanafunzi wa kutosha toka rufiji wakati mabilioni yaneangamia kujenga hicho chuo

Huwezi lazimisha punda anywe maji
 
Huwezi lazimisha punda anywe maji.

Raisi Samia kujenga Veta na taasisi za elimu ya level yeyote apeleke kwa walio tayari

Kwani hata akienda kampeni 2025 akisema serikali ya CCM imejenga chuo cha VETA Rufiji watamuona kama mjinga tu wao hitaji lao kuu madrasa ya kuhifadhi kuruani aweza nyimwa kura vile vile sababu hitaji lao sio chuo secular waweza hata mzomea kampeni 2025 akiongea hilo

Awekeze maeneo wanataka hizo VETA na wako tayari kujiunga kwa wingi

Wanaweza kuhifadhi Koran na kusoma masomo ya Kisekyula. Jambo la msingi kuwepo na jitihada za kuwaelekeza wenyeji wa eneo husika umuhimu wa elimu hizo kwenda pamoja.
 
Wanaweza kuhifadhi Koran na kusoma masomo ya Kisekyula. Jambo la msingi kuwepo na jitihada za kuwaelekeza wenyeji wa eneo husika umuhimu wa elimu hizo kwenda pamoja.
Hilo lianzie misikitini kuhimiza hilo

Wakristo huhimiza sana makanisani kusoma elimu secular tofauti na waislamu toka mtoto akiwa mdogo Sunday school au utoto mtakatifu kwa wakatoliki wakifundishwa masomo ya dini tofauti na waislamu
 
Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.

Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.

Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.

Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari

Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya

Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo
Unajengaje chuo kama hicho kwenye mkoa ambapo wananchi wake na jamii,kipaumbele chao ni madrasa, na misikiti!? Hao wangejengewa msikiti na vituo vya kufundisha kuruani!
Hivyo vyuo vijengwe kwa wahaya, wachaga, mbeya, na Mwanza,
 
hao watu ni wa kuwasaidia tu, awareness itembezwe tu kwao. hamna namna.
 
Unajengaje chuo kama hicho kwenye mkoa ambapo wananchi wake na jamii,kipaumbele chao ni madrasa, na misikiti!? Hao wangejengewa msikiti na vituo vya kufundisha kuruani!
Hivyo vyuo vijengwe kwa wahaya, wachaga, mbeya, na Mwanza,
Mara ingine tatizo ni wabunge kelele kibao oohhh jimboni kwangu hakuna chuo cha VETA mnatuonea kwa sababu waislamu na anatoa mifano ya vyuo kibao vya VETA Kilimanjaro na Kagera nk vilivyo kibao sio kimoja au viwili au vitatu kwenye wilaya zao halafu anakuja mbona Rufiji hakuna hata kimoja mheshimiwa Spika huu ni ubaguzi wa wazi kubagua waislamu lazima tuseme kweli Waislamu sisi sio washari uislamu dini ya amani lakini hiki mnafanya huu ubaguzi mtaamusha hasira za waislamu Rufiji msituone kimywa mkatuona wajinga.Tunaona upendeleo wenu kujipendelea ujenzi vyuo vya VETA kwenu na mfumo wenu Kristo

Waislamu msituone wajinga tunawaangalia tu msitafsiri ukimywa wetu kama ujinga siku tukiliamsha hapa hapatakalika.Waislamu tunadharaurika sana hasa Rufiji kwenye waislamu wengi asilimia 99.9

Haya sasa chuo kimejengwa Rufiji cha VETA waende basi hawaendi mbio wanaenda Madrasa kukariri aya za kuruani

Mama Samia kazi unayo na hao waislamu wenzio
 
Haha 😄 nature tu ya watu wa huko kidogo elimu haipandi alafu
Wana kauvivu fulani

Ova
Nimewekeza huku,napajua vyema ndugu mrangi .
Sio wana kauvivu,ni wavivu wakubwa kupindukia.
Yaani kama wale wa kule ulipokuwa unalima matikiti kipindi kilee.

Pwani yote ni watu wavivu (wenye asili lakini).
 
Kuna wakati nlikuwa nalima sana matikiti na matango mwarusembe,sehemu za mainge
Vibarua shida sana kuwapata
Kila siku utawasikia wako kwenye shuguli, sijui mtoto anatoka,mara kibeseni.....
Kuna mwalimu mmoja alikuwa anafundisha huko ndiko akasema mbona usukumani ana watu ndy akaniletea....walipoanza kuja wakawa wanaitana sasa,kdg wanawachangamsha

Asante kujiongeza kusikiliza ushauri ulifanya vizuri mno kusikiliza ushauri
 
Rufiji Walitaka Mbegu Za Mahindi Wapande, Sasa Ninyi Mlapeleka Chuo Cha VETA
 
Rufiji Walitaka Mbegu Za Mahindi Wapande, Sasa Ninyi Mlapeleka Chuo Cha VETA
Kuna waturuki walikuja Rufiji kutaka kulima kilimo kikubwa wakiamini kule kuna waislamu wenzao waaminifu wakalima ma ekari na ma ekari ya mahindi kawaulize kilichowakuta kutapeliwa kwa kuwaamini waislamu wa Rufiji kuanzia kulima nk hadi kuvuns kaulize wizara ya mambo ya nchi za nje au kituo cha uwekezaji au ubalozi wa utururuki nchini Tanzania

Waturuki walikuwa very genuine na walipania hasa kuwekeza Rufiji watu wema wale waturuki na walitaka tu kujikita kwenye kilimo cha mashamba makubwa yaani Estates hawakuwa frustrated na serikali wala kituo cha uwekezaji waislamu wenzao wa Rufiji waliwatenda kitu kibaya sana hao wawekezaji genuine wa Uturuki wa mashamba makubwa

Foreign affairs kama hiyo issue haikuwafikia waongee na Tanzania Investment Centre au ubalozi wa uturuki kama wanajua hiyo kadhia iliyowapata wawekeza waislamu genuine toka uturuki waliowekeza kwenye kilimo Rufiji

Walijiondokea kimywa kimya sababu kuu wakazi wa Rufiji waliowaamini kama waislamu genuine kumbe sio.sababu gani waturuki waliondoka wakati waliwekeza billions kwenye kilimo kikubwa Rufiji cha Estate farms Serikali find out

Rufiji kuna shida seriously
 
Back
Top Bottom