- Thread starter
-
- #41
Una hoja nzito iliyojaa akili nyingi serikali isikie isilete masiharaUkiona hivyo maana yake kuna msingi mbovu wa elimu huko Rufiji. Kwamba elimu ya msingi ni mbaya kiasi cha kupoteza kutoa wahitimu wenye sifa za kujiunga na VETA.
Kilichotokea Rufiji iwe fundisho kwa maeneo mengine. Kwa mfano nimesikia baadhi ya maeneo wanadai wajengewe vyuo vikuu. Mtazamo wao ni kwamba chuo kikuu ilijengwa wanakijiji wa eneo husika wanapata nafasi za masomo. Ushauri wangu ni kwamba eneo linaloomba chuo cha ngazi fulani ni lazima liwe limejitosheleza ktk ngazi ya chini yake.
Serikali nayo inapaswa kulaumiwa. Sio sahihi kuwabwagia wananchi chuo cha VETA wakati elimu ya msingi huko Rufiji iko taabani. Ujenzi huo ilipaswa kwenda sambamba na kuandaa wanafunzi watakaojiunga na chuo hicho.