ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hivi mbezi haiwezekani kuchimba visima?Sisi mbezi tuliambiwa Kila alhamis watakua wanatoa maji hii week ya tatu tunaelekea hayajatoka hata kidogo alafu walimpa mama samia tuzo ya maji
Hivi Hawa wanao toa tuzo Ni wagonjwa au anaekubali kuzipokea ndio mgonjwa yaani na hizo Trillion 12 walizokopa mwaka Jana kwenye deni la taifa wanazifanyia nini kama changamoto ya maji tu hawawezi kututatulia