KERO Wakazi wa Tabata hatujapata huduma ya maji ya DAWASA kwa takriban miezi miwili sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hivi mbezi haiwezekani kuchimba visima?
 
Poleni sana maji ni uhai yasipokuwepo ata kipindupindu kinaweza kuja pamoja na kuhara
 
Kero yangu kuu ni maji katika eneo langu la Tabata Kisukuru Wilaya ila kuna changamoto ya maji tokea Mwaka 2026 uanze hayajawahi kutoka hata mara moja, Mwaka jana yalitoka mara 2 tu Mwaka mzima sasa sjui tatizo lipo wapi au sisi hatuna haki ya maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…