A
Anonymous
Guest
Tembo wamekuwa changamoto kubwa sana kwa Wilaya hiyo kuhatarisha maisha ya watu.
Hivi sasa ni takibani mwaka wa tatu, tembo wamekuwa changamoto kwao wakisababisha upotevu wa maisha kwa watu kila bahada ya kipindi Fulani na uharibifu mkubwa wa mazao ya wakulima katika heneo hilo ikiwemo mahindi na mpunga.
Wananchi wamekuwa wakiahidiwa kulipwa fidia na kuandikwa majina katika eneo husika, cha ajabu hakuna malipo yanayoendelea katika wilaya hiyo.
WANANCHI licha ya uwepo wa Mkuu wa Wilaya mpya katika eneo lao, bado hakuna mabadiliko yoyote yanayoendelea.
Tunaiomba serikali kuwa macho na wilaya za mipakani, watu wanajihisi hawathaminiwi katika nchi yao.