Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500.
Imekuwa ni kawaida kwa eneo hili kuwa na kero ya maji,mara nyingi yalikuwa yakitoka Jumamosi jioni au jumapili,muda mwingine DAWASA walivyo na roho mbaya wanatoa saa tisa usiku na saa 12 asubuhi wanafunga.
Waziri Awesu,waokoe wakazi wa eneo hili,kina Mama wanahangaika na ndoo kichwani kusaka maji.Jitihada mbalimbali zimefanyika lakini hakuna solution.Wenye nyumba wanahaha kwasababu wapangaji wanakimbia.
Soma Pia: Shida ya upatikani wa Maji eneo la Ubungo Kibangu na maeneo ya Karibu
Hii ni kero kubwa sana jamii forums tusaidieni kupaza sauti kupitia platforms zenu zingine ikiwemo X, Instagram na Facebook,ili taarifa iweze kuwafikia wahusika kwa haraka.
Tusaidieni jamani tumechoka.