KERO Wakazi wa Ubungo Kibangu tumewakosea nini DAWASA? Maji hayajatoka sasa ni Mwezi, Waziri wa Maji fuatilia hili jambo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Pole sana mkuu sisi hayakutoka siku 3 leo yameanza kutoka huku bunju B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…