GE2025 Wakazi Wamtaka Mgombea Ubunge Bahati Ndingo Aweke Kipaumbele Kilimo cha Umwagiliaji

GE2025 Wakazi Wamtaka Mgombea Ubunge Bahati Ndingo Aweke Kipaumbele Kilimo cha Umwagiliaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
ampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, ambapo baadhi ya wakazi wametoa ombi kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bahati Ndingo, kusimamia agenda ya upatikanaji wa ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.

Ombi hilo limeibuliwa baada ya uzinduzi wa kampeni uliofanywa na Katibu Mstaafu wa CCM, Daniel Chongolo, katika Kijiji cha Kongolo Mswiswi, wilayani Mbarali.

 
Back
Top Bottom