wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

swali zuri sana hili!
watakuwa wanajua wanachokikimbia,huwezi nifanya niamini wanaume wao ni washika dini kiasi kwamba wanawake wawakimbie.
kama wanawake wa visiwani kutwa wapo ndani kwanini wawakimbie waume zao?
 
Wanaume wa visiwani mmeisoma hii?


 
Ni sawa sawa na kule kanda za KASKAZINI, mtu anaoa mpaka wake 10 kazi yenyewe ni KULIMA NA KUFUGA, tofauti ipo wapi?
kanda ya kaskazini hawana hii culture-fanya utafiti utaona-ni nani mwenye muda wa kuwa hata na wake 2?wakati mtaan kuna services za kutosha-kaskazini si pemba bwana
 
Rutashubanyuma, kwa kuwa dokta Batilda Buriani alitwangwa talaka tatu, katika uchunguzi wako hujabaini kama aliomba hiyo talakaa au alishitukizwa zote tatu kwa mpigo?
 
mm n miongoni mwa wazanzibar ila nahisi pengine mungekuja mukafanaya research licha ya kujisemea musio yajua ...

wahida hivi sasa waishi Zenji au......................................siye tunamnukuu Kadhi Mkuu amabye ndiye mpasha khabari.......au naye katia chumvi nini?
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, kwa kuwa dokta Batilda Buriani alitwangwa talaka tatu, katika uchunguzi wako hujabaini kama aliomba hiyo talakaa au alishitukizwa zote tatu kwa mpigo?

[MENTION]jogi [/MENTION]mie batilda sina shughuli naye.....................hata sijui kama aliachika au la.....................nijuavyo bado kaolewa.
 
kanda ya kaskazini hawana hii culture-fanya utafiti utaona-ni nani mwenye muda wa kuwa hata na wake 2?wakati mtaan kuna services za kutosha-kaskazini si pemba bwana

Edward Teller tatizo ni idadi ya wake au wanaumme wengi hawana shughuli yakufanya na hivyo kushindwa kubeba majukumu yao ndani ya familia zao?
 
Last edited by a moderator:
Yaani kweli wanawake wa Zenj hawana shukrani !!!! Huko si ndio nasikia kuwa mwanamke kazi yake kukaa ndani tu na kujichora na hina; mwanaume aleta kila kitu ikiwa ni pamoja na kwanda marikiti ?
 
hatuwezi sana kuhoji maana maisha ya ndoa ni siri ya watu wawili loh

BADILI TABIA....................wakishafikishana mahakamani hakuna cha usiri tena.....................kama wanataka iwe siri wamalizane majumbani kwao......LOL
 
Last edited by a moderator:
Yaani kweli wanawake wa Zenj hawana shukrani !!!! Huko si ndio nasikia kuwa mwanamke kazi yake kukaa ndani tu na kujichora na hina; mwanaume aleta kila kitu ikiwa ni pamoja na kwanda marikiti ?

sawabho...........hiyo ilkuwa zamani sana......siku hizi akikaa ndani atakula nini na wakumletea mapochopocho yuko wapi.........na ndiyo maana wanaona hawajaolewa kama walivyotegemea na ndiyo maana wanataka kuishia...........
 
Last edited by a moderator:

Tungependa kujua mwanamke anayeomba talaka ni mke mkubwa, kati au wa tatu!
 
[MENTION]
mkomatembo[/MENTION].........kama kweli wazenji ni washika dini basi talaka zisingekuw wanatupiana kama njugu................talaka ni dalili ya m'momonyoko wa maadili ndani ya jamii.............
 

Kiasi nimekuelewa....tatizo linaanzia kwenye kufunga ndoa na wanaofunga ndoa.kimsingi talaka huwa ni hitimisho la makosa ya mwanzo
 
Tungependa kujua mwanamke anayeomba talaka ni mke mkubwa, kati au wa tatu!

Mungi..............kama wanaumme anashindwa kuihudumia familia yake unafikliri hata mke mdogo atapenda kubakia khapo. Kama anaongeza wake na huku hata kipato hana na kufnaykazi hataki unatarajia mwisho wake utakuwaje vile?
 
Last edited by a moderator:
hahaha RUTA najua ulipoona habari hii kama kweli la kwanza ulinifikiria mm leo nitampata wahida ..ata kama siishi zanzibar kwa muda huu ila let me tell u RUTA wewe ni EDUCATED MAN unadhani kitu kitatokeaje bila ya reason? kuna sababu ya wanawake kuchoka kuishi na wanaume zao ,s sababu ya umaskin no ,ila behaviour za wanaume ,znz kuwa na mabadiliko ya economic n ndoto ,ila wanawake wao ndio wana huge responsibility ya familia zao. utamkuta mama ana watoto 6 au zaid yy ndie anahangaika kwa kila kitu na hana kazi ya maana so unaona ndoa zitakuwaje apo kama si migogoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…