wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

[MENTION]
mkomatembo[/MENTION].........kama kweli wazenji ni washika dini basi talaka zisingekuw wanatupiana kama njugu................talaka ni dalili ya m'momonyoko wa maadili ndani ya jamii.............

Mkuu unanichekesha sana unataka kuniambia ndoa za Wakirsto hazina matatizo? Matatizo ya ndoa kama hayajakufika wewe usiwasemehe wenzako...mbona wana ndoa wengi tu wadada wa Kikiristo watu wanaanguka nao tu kama kawaida na bado wapo kwenye ndoa zao suala la talaka lipo kiimani zaidi.
 
Kwa mantiki hii wanawake wengi katika ndoa walikwisha olewa mara kadhaa(yaani mitumba) na watoto hawana malezi ya dhati(elimu & mlo) kutoka kwa baba na mama waliowazaa
 
Nimeshangazwa na taarifa ya Kadhi Mkuu kule Zenji kuwa zaidi ya asilimia 70 ya kesi za talaka ni wake wakidai walimwe talaka tatu na waume zao baada ya kuchoshwa na vitendo vya unyanywasaji, kutelekezwa na kudhalilishwa na waume zao................katika makala hii ya habari leo isomekayo kama.............Utoaji talaka wakithiri Zanzibar inathibitisha ya kuwa ndoa zimeparanganyika sana kule visiwani kama huku bara kutokana na waume kushindwa kubeba majukumu yao........................hatujui kwa kiasi gani na hao wake wameshindwa kubeba majukumu yao hususani la utii kwa waumme zao hata kusababisha kujikuta wanapata mateso makubwa kwa kisa "wameolewa"....................

Pengine hujuwi nini tofauti ya talaka ya kawaida na ile inayodaiwa kwa kadhi. Talaka ya kawaida ni talaka ambayo kutalikiana kunamalizika kwa makubaliano nyumbani hivyo mara nyingi kunakuwa hakuna tatizo la kupeana au kudaiana talaka tatu kwani inawezekana mkaamuwa kurejeana.

Sasa talaka ya kwa kadhi mara nyingi hudaiwa na mwanamke baada ya kushindwa kuipata kwa makubaliano kutoka kwa mume. Ili kuepuka usumbuifu baada ya kuona uhusiano ulivyo, mwanamke mara nyingi hudai talaka tatu ili azuiye kabisa uwezekano wa mwanamme kudai kumrejea.
 
Wanaume wa zanzibar wengi wao wavivu sana..ndio maana wanataka hata kijitenga ili waje watawaliwe tena wawe wanapata kila kitu bure...wanawake ndio wanajishughulisha mara kwa mara....

Sasa mwanaume hutimizi majukumu yako bado unaleta kisauti...bora mtu ajiombee talaka yake..ni haki yao wacha waitumie.

Kuna mtu alikubali kuwa avatar yake ni picha yake! Wengine avatar zao zinalingana na mambo mengi yao!

Hivyo aliyekwambia kuwa wanaume wa zanzibar ni wavivu nani? Hivyo ulishawahi kusikia serikali ikipeleka mahindi ya msaada kule? Wanapata wapi uwezo wa kimaisha na inakuwaje waliokuwa si wavivu kila siku wanaomba msaada wa serikali?
 
Ruta Leo umeamua kuwachambua wakwezoeeee! ngoja Arabianfalcon aje atuelezee mtoto wa Malindi...

Asabaya mie ninaripoti tu badi sijaweka maoni yangu kiundani hivi............................LOL
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha KIBELAAAA🙂 Kiswahili kipana sana!!!! Asante kwa kutujuza hiki CHUO aka NDOA

Ni kweli SURUMA ndoa ni chuo ambacho hakuna kuhitimu na mafunzo yake yapo kila mara.............
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu alikubali kuwa avatar yake ni picha yake! Wengine avatar zao zinalingana na mambo mengi yao!

Hivyo aliyekwambia kuwa wanaume wa zanzibar ni wavivu nani? Hivyo ulishawahi kusikia serikali ikipeleka mahindi ya msaada kule? Wanapata wapi uwezo wa kimaisha na inakuwaje waliokuwa si wavivu kila siku wanaomba msaada wa serikali?

Ngekewa hebu tuume sikio kidogo hizi talaka tatu kiini chake ni nini haswa?
 
Last edited by a moderator:
Pengine hujuwi nini tofauti ya talaka ya kawaida na ile inayodaiwa kwa kadhi. Talaka ya kawaida ni talaka ambayo kutalikiana kunamalizika kwa makubaliano nyumbani hivyo mara nyingi kunakuwa hakuna tatizo la kupeana au kudaiana talaka tatu kwani inawezekana mkaamuwa kurejeana.

Sasa talaka ya kwa kadhi mara nyingi hudaiwa na mwanamke baada ya kushindwa kuipata kwa makubaliano kutoka kwa mume. Ili kuepuka usumbuifu baada ya kuona uhusiano ulivyo, mwanamke mara nyingi hudai talaka tatu ili azuiye kabisa uwezekano wa mwanamme kudai kumrejea.

Khoja swafi Ngekewa lakini swali la msingi bado hujalijibu..................ni nini kiini cha hizi talaka tatu kwa Kadhi?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mantiki hii wanawake wengi katika ndoa walikwisha olewa mara kadhaa(yaani mitumba) na watoto hawana malezi ya dhati(elimu & mlo) kutoka kwa baba na mama waliowazaa

ngaranumbe wamaanisha sasa kumetokea mkanganyiko wa kijamii au a deadly vicious circle ya kifamilia?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unanichekesha sana unataka kuniambia ndoa za Wakirsto hazina matatizo? Matatizo ya ndoa kama hayajakufika wewe usiwasemehe wenzako...mbona wana ndoa wengi tu wadada wa Kikiristo watu wanaanguka nao tu kama kawaida na bado wapo kwenye ndoa zao suala la talaka lipo kiimani zaidi.

ritz pitia tena ni msukumo gani ambao ulinifanya nikamjibu hivyo........................kifupi tu dini watu wanzivaa kama jezi ya mpira na hivyo kuwa mashabiki tu na wala siyo wanaishi kulingana na maelekezo ya dini zao......................kwa hiyo mkristu au muislamu au dini nyingineo yoyote ile kama hawafuati maelekezo ya vitabu vyao vitakatifu basi hao siyo wafuasi wa hizo dini bali ni mashabiki tu kama wale wa ynaga na simba...............kwa hiyo[MENTION] ritz [/MENTION]usicheke bali tafakari sana hizi khoja zilikoanzia zilikuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa dini ya kiislam talaka ni jambo linalomuudhi sana Mwenyezi Mungu japo ameliruhusu..ila wengine hawalizingatii hilo..ila kwa upande mwingine ndoa inaposindikana kabisa talaka is the last resolution..

Kayla anapoudhiwa Mwenyezi Mungu huwa inakula kwa nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom