Wake up call -Dayosisi ya KKKT Karagwe: Imarisha ulinzi kwa Askofu Benson Bagonza

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kumbe na watumsihi wa Mungu wanaogopa kufa?

Hah teehee
 
Huyo Mganda aturudishwa Kwao soon.


SOon
 
Nilisikia anaenda Burundi kwenye harusi ya ndugu yake
 

Haswaaaa!

Tangu Jana Mimi nilishatoa angalizo kwa Baba Askofu Dkt. Benson Bagonza kwamba achukue tahadhari kubwa sana kwa sasa. Aongeze mikakati zaidi juu ya Ulinzi wake binafsi, achukue tahadhari zote kabisa za kiusalama. Baada ya kushambuliwa Padre Dkt. Kitima, most probably anayefuatia ni yeye Askofu Dkt. Benson Bagonza.
 
most likely!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…