KIBONGOMKUTI
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 1,425
- 609
hii tabia wa tz tunaitoa wapi kujadili mambo ya ndani ya kiongozi mkuu wa nchi huwa naboreka sana binafsi huyo ndio mwanadiplomasia wetu no 1Of all da names za
watoto wa JK nimelipenda la "Havintishi" kumbe sio bure hata tukilalama
mpaka kukicha chezea Baba Havintishie weye. Hahhahaha kweli JK ni noumer
hao watoto wengine walikuwa wanazaliwa 3 kwa mwaka?
hii tabia wa tz tunaitoa wapi kujadili mambo ya ndani ya kiongozi mkuu wa nchi huwa naboreka sana binafsi huyo ndio mwanadiplomasia wetu no 1
che salima digirii amepata lini na wapi,mmah unami
Jisomee list ya watoto wa mkuu wa kaya..na hiyo haijawa updated toka februari 2014 ..inawezekana kuna vingine vimezaliwa hatujui
the most beautfull first lady in the region is mama salma kikwete. african lady, soft skin, cool thats how africans are.
kama kitu ukijui usizungumze mama yake riz ni mtu wa bagamoyo na alikufa miaka mingi sana inafika hata 20 years so usikurupuke..na riz alizaliwa pamoja na ndugu yake anae itwa salama..Inawezekana kwa sasa akawa ni marehemu. Lakini ukweli ni kwamba alikuwa anatokea mkoa wa singida na pia alikuwa akiishi huko.
Salma Kikwete ana bachelor's degree in education? Who's the editor that let that lie go to print?
izo story za mama salma kuzaa mwaka jana sijui mnazitoa wp mama salma ana watoto wa 5 alowazaa mwenyewe na mtoto wake wa mwisho ana miaka 15..hayo mengine yote ni uzushi mtuHapo Naungana Na Wewe Na Hana Pia Watoto Hao Watano na Nijuavyo ana Watoto Wake Halisi Wa Kuwazaa Watatu Labda Na Huyu Wa Mwisho Mdogo Aliyemzaa Mwaka Jana Kama Sijakosea.
izo story za mama salma kuzaa mwaka jana sijui mnazitoa wp mama salma ana watoto wa 5 alowazaa mwenyewe na mtoto wake wa mwisho ana miaka 15..hayo mengine yote ni uzushi mtu
Mama salma kazaliwa 1962 maana yake mwaka jana alikua na miaka 51 na kwa miaka 51 mwanamke kashakata hedhi sasa sijui iyo mimba aliipataja so usikurupuke....byeeBasi Ametoa Hiyo Mimba ila Alikuwa na Kibendi...............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!