Wake/wapenzi mnatutesa wakati wa kuwachagulia zawadi

Wake/wapenzi mnatutesa wakati wa kuwachagulia zawadi

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Mojawapo ya raha ya mme/ mwanamme ni kumpa zawad mwenza asiyotarajia na akaifurahia.

Na kati ya lawama za wanawake dhidi ya wenza ni tabia ya kutoa taslim mwenzako akajinunulie kila kitu kila mara.

Haina ladha ya kupendwa na kujaliwa.

Sasa kuna mwanamke (mana sina mke) ni kichocheo cha furaha yangu na umuhim wa dunia. Napenda zawad za kila siku hata ikibid pipi kijiti.

Sasa huyo Herodia amenionyesha interest kwa bidhaa ambayo sijui hata nainunuaje kama nina nia njema na sehem zake za thaman hata kama nataka apate ninachomudu.

Na sio binti. Ni mdada kabsa.
Hebu muache vingine viwapite tu ni vya wanamitindo wabobezi.

 
Mojawapo ya raha ya mme/mwanamme ni kumpa zawad mwenza asiyotarajia na akaifurahia.

Na kati ya lawama za wanawake dhidi ya wenza ni tabia ya kutoa taslim mwenzako akajinunulie kila kitu kila mara...
Mapinduzi ya teknolojia haya
 
Back
Top Bottom