Wake/wapenzi mnatutesa wakati wa kuwachagulia zawadi

1744613fe8224694deaa5441108b21f9.jpg
 
Aloo wametoka kwenye vyupi vya vijimstari sasa wamekuja na hivi ....

Alooo hawa viumbe wako kasi, sisi hata hatujatoka kwenye chupi za TMK WANAUME FAMILY, wao tayari washamove 10 steps ahead.
 
Mojawapo ya raha ya mme/ mwanamme ni kumpa zawad mwenza asiyotarajia na akaifurahia.

Na kati ya lawama za wanawake dhidi ya wenza ni tabia ya kutoa taslim mwenzako akajinunulie kila kitu kila mara.

Haina ladha ya kupendwa na kujaliwa.

Sasa kuna mwanamke (mana sina mke) ni kichocheo cha furaha yangu na umuhim wa dunia. Napenda zawad za kila siku hata ikibid pipi kijiti.

Sasa huyo Herodia amenionyesha interest kwa bidhaa ambayo sijui hata nainunuaje kama nina nia njema na sehem zake za thaman hata kama nataka apate ninachomudu.

Na sio binti. Ni mdada kabsa.
Hebu muache vingine viwapite tu ni vya wanamitindo wabobezi.

View attachment 3046421
Ndo nn sasa

Back
Top Bottom