Wake za watu mna nini?

Wake za watu mna nini?

Hata mimi kuna kabaamedi kamoja hapo Makuti bar kananiambia kana mume wake. Na kila siku kanalala geto na wenzake... Baadae nakuja kushtuka kuambiwa kumbe huyo mume wake anayemsemea ni mimi...
😂🤣🤣
 
Hahahahah wake za watu hawana kero za kipuuzi hata kama una mpenzi wako hakuingilii maana lengo lake muinjoy mahaba tu hamna mizinga wala ushubwada mwengine ni strictly kupeana raha tu za nafsi! Hawana maudhi wala drama za kishamba.
Kingine wake za watu wengi hua wanapendelea sana kutazama zile video pendwa, kuna vitu wanaviona mule na wao wanatamani kuvifanya au kufanyiwa lakini wanashindwa kuwaambia waume zao au waume zao hawawezi kuvifanya hata wakiambiwa.
Pia waume wengi ndani ya miaka 5 na kuendelea hua perfomance zao zinapungua kutokana na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo.
Kikubwa wake za watu nao ni binaadamu, hivyo kuna kipindi na wao wanatamani kama vile waume zao wanavyotamani huko nje.
 
sasa si uweke na namba yake tumuulize tatizo ni nini kwa mume wake
 
Watu wanatafuta mitaji we unapiga teke Mfuko wa maendeleo? Dogo kuwa serious na maisha 😂😂😂 siku moja utakuja kuzikumbuka hizo chance...aliskika Mlevi mmoja!
😂😂😂Umakini muhimu siku si siku atajikuta yuko katikati ya wenye sector yao
 
Back
Top Bottom