Sasa mambo ndo hayo.
ππ€£π€£Hata mimi kuna kabaamedi kamoja hapo Makuti bar kananiambia kana mume wake. Na kila siku kanalala geto na wenzake... Baadae nakuja kushtuka kuambiwa kumbe huyo mume wake anayemsemea ni mimi...
Kingine wake za watu wengi hua wanapendelea sana kutazama zile video pendwa, kuna vitu wanaviona mule na wao wanatamani kuvifanya au kufanyiwa lakini wanashindwa kuwaambia waume zao au waume zao hawawezi kuvifanya hata wakiambiwa.Hahahahah wake za watu hawana kero za kipuuzi hata kama una mpenzi wako hakuingilii maana lengo lake muinjoy mahaba tu hamna mizinga wala ushubwada mwengine ni strictly kupeana raha tu za nafsi! Hawana maudhi wala drama za kishamba.
Dah et on target already!πππOn target already!
πππUmakini muhimu siku si siku atajikuta yuko katikati ya wenye sector yaoWatu wanatafuta mitaji we unapiga teke Mfuko wa maendeleo? Dogo kuwa serious na maisha πππ siku moja utakuja kuzikumbuka hizo chance...aliskika Mlevi mmoja!
Kibwengo πππ andaa mafuta ya AlizetiππNitumie namba yake
Pole Sana mama.Hao ndio wale wanawake wachache wanaotufanya wanawake wote tuonekane hatuna maana, kama mtu haupo na furaha kwenye hio ndoa s muachane kwa amani tu