green rajab JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 12,387 Reaction score 39,119 Mar 9, 2019 Thread starter #41 Darmian said: Kuwa wadau watakuambia"hongera kwa kujenga na kuishi kwako" Click to expand... Hilo jambo mbona la kawaida sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Darmian said: Kuwa wadau watakuambia"hongera kwa kujenga na kuishi kwako" Click to expand... Hilo jambo mbona la kawaida sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Mar 11, 2019 #42 Wewe na hao wake za watu akili zenu zinafanana ningekuona wa maana kama ungewakwepa.
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,723 Reaction score 4,286 Mar 12, 2019 #43 Pengine wanagawa wasife peke yao, hilo nalo liangalie mkuu , maana unaweza jifanya mjanjaaa kula wake za watu na kumbe hao wote wamesha ungua zamani na wanaume zao wanajua hilo,
Pengine wanagawa wasife peke yao, hilo nalo liangalie mkuu , maana unaweza jifanya mjanjaaa kula wake za watu na kumbe hao wote wamesha ungua zamani na wanaume zao wanajua hilo,