mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Miezi miwili iliopita nikawa nimeamia nyumba moja hivi
Kwenye hiyo nyumba nikamkuta binti mmoja hivi sikujua kama ana mume
Kwa maana katika mazoea na kukaa hapo kwa wiki moja sikuwahi kuona kuna dalili ya kuwa na mume
Imepita wiki akaja jamaa yake ile usiku nakuta tu migunoo oohh shiiish aah
Nikajiuliza nini hiki kumbe dem anakamuliwa na jamaa yake
Siku ya kwanza ya pili ya tatu
Nikachoka ujinga huo kozi mi si mtu wa madem saana
Unaweza pia hata mwaka nisilete dem gheto
Asa kale kamke ka mtu kakanichukulia mi bwege
Siku ya tano umeme ukawa umeisha akawa ameomba namba kwa mwenye nyumba
Akanicheki nikalipia Luku sasa usiku narudi migunoo tena nikasema hawa ngoja kwanza
Nikakutumia text hivi huko ndani nikiomba nitapewa maana unavyojua kulilia utazani unanogaaa
Basi nimekaa nusu saa nakuta mlango wangu unagongwa na jamaa
Oya we ndio unakula mkewangu
Nikamwambia wewe bwana unataka makofi au maelezo
Nakumbuka zilipigwa mpaka asubuhi
Asubuh yake nakuta kale madem kananiimbia mafumbo
Ooh utakula kwa machozi
Basi nikawa nimekaa kimya kama miez
Nakuta kanaanza kujibebisha
Nikasema hakuna fala hapa
Nikatega mingo kakanasa nikamlaaa
Ujumbe wanawake mjitahidi kuwa na misimamo