Wake za watu tusaidieni katika hili..

Kila mwanadamu ana hisia...Mungu wetu yuko wapi


Mtu unamsusa mkewe anakwenda kuchapa nje, mkewe atasuguliwa na nani? Wacha tu kina Mama nao wacheat, tusipende kulaumu watu kwa tusichokijuwa.
 
Apa hatuwalaumu tunataka kujua chanzo.


Kuna mengi ila hili nililolitaja ni moja ya sababu. Kuna wengine wanaona hawawezi kukaa bila ya kuwa na nyumba ndogo. Wengine ni wagonjwa, unakuta mzee hasimami mwanamme kaishiwa nguvu pengine kutokana na magonjwa ama uzee tu huku mke bado kijana ama bado ana nguvu zake na anataka dushe. LAZIMA naye atatokea nje akasuguliwe aondoe stress mwilini. Kuna wengine haswa wanaume wa Zanzibar, Tanga na Dar, wanajifanya wanaume machoni mwa watu ila nao ni kina Aunt, wanaona ili tu kudanganya jamii. Wakienda mtaa wa pili nao wanavalishwa shanga kiunoni na kushikishwa ukuta, akirudi nyumbani hana hamu na mkewe, anamwangalia tu na kumkejeli. Wewe Tairus kama ungekuwa ndiyo wewe unafanyiwa haya ungefanyaje, umeolewa ila mumeo anakusanifu tu?
 
Huu utafiti umewamega wame za watu wangapi hadi kuthibitisha hiyo mikoa ipo hivyo?
 
Muhimu ni kueleweshana wanafeli wap..
Kila kitu kinachoharibia duniani ni makosa ya mwanaume yani ni hivi;

-Umeoa lakini bado upo bize na washkaji wife huna time nae unategemea nn?

-Umeoa lakn mipango yako ya maendeleo wife anaambiwa na washkaji zako unategemea nn?

-Umeoa ila kutwa sms za vitoto vya kike zinaingia kwenye simu yako wife anazifumania unategemea nn?

Note; wengine utafanya yote lakini utasikia kuna mchizi kapiga yani wengine hulka yakuzaliwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…