Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwanadamu ana hisia...Mungu wetu yuko wapi
Rafiki..Unasema???
Apa hatuwalaumu tunataka kujua chanzo.
Huu utafiti umewamega wame za watu wangapi hadi kuthibitisha hiyo mikoa ipo hivyo?Kuna mengi ila hili nililolitaja ni moja ya sababu. Kuna wengine wanaona hawawezi kukaa bila ya kuwa na nyumba ndogo. Wengine ni wagonjwa, unakuta mzee hasimami mwanamme kaishiwa nguvu pengine kutokana na magonjwa ama uzee tu huku mke bado kijana ama bado ana nguvu zake na anataka dushe. LAZIMA naye atatokea nje akasuguliwe aondoe stress mwilini. Kuna wengine haswa wanaume wa Zanzibar, Tanga na Dar, wanajifanya wanaume machoni mwa watu ila nao ni kina Aunt, wanaona ili tu kudanganya jamii. Wakienda mtaa wa pili nao wanavalishwa shanga kiunoni na kushikishwa ukuta, akirudi nyumbani hana hamu na mkewe, anamwangalia tu na kumkejeli. Wewe Tairus kama ungekuwa ndiyo wewe unafanyiwa haya ungefanyaje, umeolewa ila mumeo anakusanifu tu?
Kila kitu kinachoharibia duniani ni makosa ya mwanaume yani ni hivi;Muhimu ni kueleweshana wanafeli wap..
Huu utafiti umewamega wame za watu wangapi hadi kuthibitisha hiyo mikoa ipo hivyo?