Wake za watu...

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Hii tabia ya wake za watu kukutana vijana na kukana kua hawajaolewa sio vzuri, nyie wanawake mna matatizo gani, Binafisi mimi siwezi kulala na mke wa mtu kama najua kaolewa ata uwe mrembo kiasi gani.

Juzi kati nilikutana na pisi ina namba 8 maeneo ya posta, akanihakikishia anakaa peke yake, na takribani wiki nzima alkua anabembeleza niende maeneo ya kwao.

Juzi weekend nmejtoa, naelekea maeneo X, nkachukua lodge x akadai ni karibu anapokaa so wanamjua nitafte pengne, nkaenda lodge Y, hapa kaja na boda wake.

Wakati wa kurudi boda wake kachelewa so nkamwambia boda alienileta aje na mwenzie ili wanichukue mimi na yeye, alkua mtata japo alikubali ila alkua anataka niende peke yangu yeye nimuache.

Huyu boda alienichukua ndo kanipa ukweli kua ni mke wa mtu, so kasema siku nikimuitaji tena, nmecheki huyu boda wangu na wala sio wake la sivyo ntajichoma.

Nimeumia sana kwa sababu nmekula mke wa mtu naamni sitarudia tena, na kanihakikishia anapenda sana kufanya mapenzi na yuko tiari kufanya chochote nitakacho sema, sirudii wanawake badilikeni jamani.
 
Hata usiwaze wake za watu ndio wenyewe sasa
 
Hii tabia ya wake za watu kukutana vijana na kukana kua hawajaolewa sio vzuri, nyie wanawake mna matatizo gani, Binafisi mimi siwezi kulala na mke wa mtu kama najua kaolewa ata uwe mrembo kiasi gani.
Sio tuu wake za watu !!! Hata waume za watu husema hawajaoaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana, umeyaweka rehani omba serikali ikuongezee ulinzi au anza kutembea na Vaseline Petroleum Jelly🐒
 
Kijana wacha kumbato wake za watu, tafuta mwanamke OA. Usiendelee naye huyo ukiendelea naye fanya ujinunulie kabisa KY yako mpya uwe unatembea nayo mfukoni itakusaidia walau kupunguza maumivu siku isiyojulikana.
 
Mke wa mtu sumu,Sikh ingine use na mafuta kabisa
 
Porti mbona mnawasema wake zetu vibaya? usijenerolaizi sio woote bhana wapo wengi tu wanaheshimu sana ndoa zao huyo mmoja asikupe jibu la jumla kuwa wake za watu wanatoka ovyo na wanaume wa nje sio hivyoo brother!! anyway nadhani ni mtizamo wako pia na ninashukuru kuadmit kosa hilo baada ya kutambua kuwa ulietembea nae ni mke wa mtu umekiri hutarudia tena basi ni uamuzi wa busara sana umefanya...
 
Kuna mtu ata comment
"utoto raha sana" au "kwani vyuo vimefungwa?"..
 
Tatizo hatuwapi show za kibabe wake zetu
Matokeo yake wanatoka na mangumbaru kama huyu mleta uzi
Nasisitiza wapeni show za kibabe wake zenu lasivyo yatakua yanajirudia Kila siku na kesi za ugoni hazitaisha
 


Ile siku unafumaniwa na mwenye mali ila mwenye mali hataki kula kijambio chako.kaja na vifaa maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…