Wake zako wawili wakianza kupatana UMEKWISHA!

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Yaani wake zako walikuwa mahasimu kwelikweli hadi kutishiana kuwekeana sumu na pengine walishazichapa saana mbele yako huku ukipambana kuwaamua.

Leo unarudi zako home baada ya mihangaiko yako unawakuta wanakula sahani moja na kucheka huku wakigonga "hi5" ndugu umekwisha!

Toka nduki
 
Wala awahangaiki siku hizi unapewa sumu ya taratibu kupitia chai miezi sita tu wanagawana urithi.Marehemu alikufa kwa tatizo la ini.

Mara nyingi Sana mke Mdogo ndo ana chance kubwa ya kukua kuliko Mkubwa Mdogo ufata mali.

Mkubwa mmepita wote kwenye milima na mabonde wadogo huwa huja kwenye mteremko.
 
Kama hofu yako ni kupatana kwao unachotakiwa kufanya ni kuwagombanisha tu... simple like that!!!

Tena nikikumbuka enzi zangu za utoto... yaani nikifika mahali hata kama wenzangu walikuwa wanacheza kwa amani; hapo lazima nishawishi watu wazichape! Na wallah watazichapa tu, na baada ya hapo nabaki roho kwaaatu!!
 
Ndio maana nimekwambia toka nduki[emoji382][emoji382][emoji382]
 
Maadui ni C(c&d)M wameoatatana juu ya [emoji382][emoji382][emoji382]
 
Aisee hapo tahadhari ni muhimu na umakini maana kuwaelewa ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Instinct za kichawi hizo[emoji2]
 
Tena usiombe wapatane na wewe ukiwa unaelekea kustaafu
 
Ni kwako tu me wang[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…