Wake zetu mbona hamjishughulishi tuwapo faragha kama enzi za uchumba?

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Wakati wa uchumba ulikuwa unajitahid kukata " mauno " mwanzo - mwisho mpaka nikasema hapa nimepata. Sasa tumefunga ndoa na una watoto wawili ndani, lakini mauno umesitisha, kulikoni?

Yaani in-short care na utundu kitandani umepungua kama sio kupotea kabisa. Jamani mnataka twende wapi sisi wa ndoa ya mke mmoja? Bora wenzetu wa upande wa pili wanaruhusiwa wake wanne at a time, pia kwao talaka imeruhusiwa tofauti na sisi huku.

Wake zetu badilikeni.

cc. Baba Paroko,
Bcc. Askofu, Nabii, mtume, Dr....
 
Unataka mtu aliyezaa watoto wawili aendelee kufanya mambo aliyofanya kabla hajazaa?

Wewe ushazaa hata mmoja ujue dhahma yake?
 
Unataka mtu aliyezaa watoto wawili aendelee kufanya mambo aliyofanya kabla hajazaa?

Wewe ushazaa hata mmoja ujue dhahma yake?
hahaaaaaaa hakyamungu mungu anakuona mkuu
sio kwa kumpeleka leba
 
Jamani sasa sisi wapenda mauno tukayapatie wapi? na dini ishakataza kutoka nje ya ndoa? Na hawa mashemeji zetu tunaoishi nao full mitego khanga moja anapita mbele yako mimate inakutoka, ubb.oo kuusimamisha. Wengine wazee wa kanisa jamani, tunahesabu sadaka kanisani pia tuna udhu!
 
mnalala kama magogo tukianza kunyemelea tu-hausigeli mnanuna. Jitumeni Ndoa kitu gani?? mkizubaa tutazaa na mahausigeli mamaeee tushachokaaaa.
cc. Mfalme Mswaki
 
Unataka mtu aliyezaa watoto wawili aendelee kufanya mambo aliyofanya kabla hajazaa?

Wewe ushazaa hata mmoja ujue dhahma yake?

Hata kama ...lakini huwa wanajisahau sana wanawake .
Wanajiachia si chumbani tu hata muonekano na mambo mengi wanaa cha kwa kujua kuwa wameshapata walichokitaka yaaani ndoa ,hii inachangia sana michepuko ....mapenzi yanatakiwa kulelewa ili yasife ...sasa wao wanaishi kwa mazoea ....!
Tunatakiwa kujaribu sana kukilinda kile kilichofanya mume au mkeo akupende ,lakini unakuta wote wana vibinda mbele na nyuma ,!
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mvulana na mwanaume!!
Yani siku hizi hata mwanaume akinyimwa haki yake anakimbilia SNs kulalama, Lord Jesus have mercy!!!
Unamlilia nani kwani una wake wangapi mpaka upande jukwaani kulialia.
Kaa chumbani kwako uongee na mkeo.
Hayo mengine ni ya sirini Mgalatia!!!!
Chopeko anaongea!
 
Sasa badala ya kuongea haya na mkeo unaleta huku! Unadhani utapata ufumbuzi? Mkalishe mkeo mueleze unachotaka. Wanawake wakizaa attention inaenda sana kwa watoto, mwanaume usipokua muangalifu utasahaulika tu. We chukua nafasi yako kama mwanaume na mueleze utakacho.
 
Samaki nishamvuaa na keshakufaa..... Ndoano ya nini tena.

Baada ya uchaguzi kampeni zinakwishaga zootee yanabaki mafkrio na majunguu kama hayoo.

Ukishazoeleka uwanjani kuwa chenga yko ni unapta hivi uvungee nani ataangaika kukukabaa zaidi ya kipaa kukaa sawa kudaka goli kwisha habari yko.
 
hebu tenga sufuria lako jikoni afu weka maji tia mchele wako ikiesha hapo tulia litizame sufuria lako likichemka bila kuligeuza pindua.. afu subiri uone utakachopata....
bas ndo hivohivo kwa mukeo... maana kwa hawara unajituma ili usikosee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…