Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Wakati wa uchumba ulikuwa unajitahid kukata " mauno " mwanzo - mwisho mpaka nikasema hapa nimepata. Sasa tumefunga ndoa na una watoto wawili ndani, lakini mauno umesitisha, kulikoni?
Yaani in-short care na utundu kitandani umepungua kama sio kupotea kabisa. Jamani mnataka twende wapi sisi wa ndoa ya mke mmoja? Bora wenzetu wa upande wa pili wanaruhusiwa wake wanne at a time, pia kwao talaka imeruhusiwa tofauti na sisi huku.
Wake zetu badilikeni.
cc. Baba Paroko,
Bcc. Askofu, Nabii, mtume, Dr....
Wenzako Enzi za uchumba walikuwa wanabembeleza, wakishakuzoea wanaona hauna jipya ndipo wanatafuta mtu kama mimi kuchukua nafasi yako maana wewe umeshakuwa kaka tayari.