Wanakuja huku kupata uzoefu na ushauri sasa siunaona na we umetoa ushauri mzuri tu,Sasa badala ya kuongea haya na mkeo unaleta huku! Unadhani utapata ufumbuzi? Mkalishe mkeo mueleze unachotaka. Wanawake wakizaa attention inaenda sana kwa watoto, mwanaume usipokua muangalifu utasahaulika tu. We chukua nafasi yako kama mwanaume na mueleze utakacho.