Mbina yaza
Member
- Apr 8, 2023
- 65
- 172
Kwanza naomba niweke ushabiki pembeni, wake zetu kuna wakati wanakera sana sio kwa ubaya lakini maswali yao na jinsi wanavyotaka uwajibu!
1. Ukitaka vita kali usimsifie mke wako, atakuja na vyombo kanunua huko kariakoo siku nzima, vyombo vyenyewe kama mwanaume huwezi maliza hata dakika 10 kuvinunua,lakini yeye atazunguka siku nzima, na akija navyo home yakupasa umpongeze,la sivyo utanuniwa hadi uone nyumba chungu!
2. Asubuhi akiwa anaenda kazini, mpongeze mke wangu umependeza, kama hujafanya hivyo basi jitaidi sana jioni mpongeze, la sivyo vita ya Ukraine na Russia itahamia kwako! Utajuta maana utaulizwa hayo maswali hadi utachukia tu!
3. Unarudi home una mawazo ya future ya watoto itakuaje yeye anakupokea na story jinsi amehangaika mjini kutafuta shuka alizonunua siku hiyo, ninabidi umsikilize na kumpongeza tofauti na hapo unatafuta kununiwa.
4. Unarudi home na mahangaiko ya siku nzima, maokoto yamegoma kabisa, upo zako sebuleni unawaza hili na lile,kipi ufanye uweze pata maokoto siku ya kesho, yeye anakupigisha story za tamthilia anayoangalia, maswali kibao! Usipo support tu tamthilia yake shida kubwa sku hiyo! Utanuniwa.
5. Kila kitu kipo ndani ya nyumba! Lakini haoni chakupika hadi akuulize, leo tunakula nini! Sasa unajiuliza kwani nisipokuwepo ndiyo hua hawali hawa watu???
Mungu anawaona
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app